Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiagana na Waziri wa Nchi anaeshuhulikia masuala ya Uhamiaji na Wamisri nje ya nchi, wa Misri Mhe. Nabila Makram, katika uwanja wa ndege wa Kimataifa wa Cairo Misri alipokua akiondoka Misri na kurejea Tanzania baada ya kukamilisha ziara yake ya siku tatu nchini Misri leo tarehe 12 Novemba 2021.
MATUKIO KATIKA PICHA MANAIBU MAWAZIRI WATETA NA WANAWAKE PEMBA
-
Naibu Waziri Wizara ya Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi
Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu
(Sera,B...
8 hours ago
No comments:
Post a Comment