Habari za Punde

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Samia Suluhu Hasan Amtunuku Tuzo ya Utatuzi wa Migogoro, Demokrasia na Haki za Binaadam Dkt. Salim Ahmed Salim

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akikabidhi Tuzo ya Heshima ya Utatuzi wa Migogoro, Demokrasia na Haki za Binadamu kwa Waziri Mkuu Mstaafu Dkt. Salim Ahmed Salim aliyotunukiwa na Taasisi ya Kemet Butros Ghali ya nchini Misri leo tarehe 06 Desemba, 2021 nyumbani kwake Masaki Jijini Dar es Salaam. Anaepokea Tuzo hiyo kwa niaba yake ni mtoto wa Dkt. Salim, Ahmed Salim Ahmed.

Rais Samia Suluhu Hassan akikabidhi tuzo ya Utatuzi wa Migogoro, Demokrasia na Haki za Binaadam aliyotunukiwa na Taasisi ya Kemet Butros Ghali ya Misri leo tarehe 06 Disemba 2021 Jijini Dar es salaam

Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.