Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aondoka nchini kuelekea Falme za kiarabu kwa ziara ya siku tatu

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana na Makamo wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla pamoja na Viongozi wengine  katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani,wakati akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu  kwa ziara ya Kikazi .[Picha na Ikulu] 16 jan 2022. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.|Dk.Hussein Ali Mwinyi  na Mkewe Mama Marium Mwinyi wakiagana   na viongozi wa Vikosi vya Ulinzi  katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi .[Picha na Ikulu] 16 jan 2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akiagana   na wasaidizi wake  katika uwanja wa Ndege wa Kimatafa wa Abeid Amani Karume akiondoka nchini leo kuelekea katika nchi za falme za kiarabu katika ziara ya kikazi akifuatana na Mkewe Mama Marium Mwinyi .[Picha na Ikulu] 16 jan 2022
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi, akiagana na Makamu wa Pili wa Rais, Hemed Suleiman Abdulla, wa kwanza (kulia) alipokua akiondoka kuelekea Falme za Kiarabu kwa ziara ya siku tatu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.