Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ziarani Dodoma kuhudhuria Uzinduzi wa Wiki ya Sheria

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na  kuagana na Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakati  akindoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Mkoani Dodoma kuhudhuria Uzinduzi wa Wiki ya Sheria. Inayotarajiwa kufanyika kesho Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi akisalimiana na  kuagana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe Hemed Suleiman Abdulla wakati  akindoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar akielekea Mkoani Dodoma kuhudhuria Uzinduzi wa Wiki ya Sheria. Inayotarajiwa kufanyika kesho Jijini Dodoma.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.