Habari za Punde

Waziri Jamal azindua huduma za afya kwa wazee jimbo la Magomeni

Baadhi ya Wazee kutoka Baraza la Wazee Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar, wakiwa katika Hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Afya kwa ajili ya Wazee katika Jimbo hilo.

Baadhi ya Wazee kutoka Baraza la Wazee Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar , wakiwa katika Hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Afya kwa ajili ya Wazee katika Jimbo hilo.


 Msoma Risala Maryam Haji Sheha, akielezea changamoto zinazowakabili ndani ya  Baraza la Wazee, katika hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Afya kwa ajili ya Wazee , Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar.
Mjumbe kutoka JIWAZA Ghania Othman, akitoa Salamu za JIWAZA katik hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Afya kwa ajili ya  Wazee, Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar.
Mbunge wa Jimbo la Magomeni Mwanahamisi Kassim Said, akizungumza na Baraza la Wazee Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar, katika Hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Afya kwa ajili ya Wazee katika Jimbo hilo.
Muwakilishi Jimbo la Magomen,i ambae pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Jamali Kassim Ali akizungumza na Baraza la Wazee Jimbo la Magomeni ,  katika Hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Afya kwa ajili ya Wazee katika Jimbo hilo.
Muwakilishi Jimbo la Magomeni ambae pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Fedha na Mipango Zanzibar, Jamali Kassim Ali, akipimwa Presha katika Hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Afya, kwa ajili ya Wazee katika Jimbo hilo.
Mbunge wa Jimbo la Magomeni Mwanahamisi Kassim Said, akipimwa Presha katika Hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Afya kwa ajili ya Wazee, katika Jimbo hilo.
 Baadhi ya Wazee wa Jimbo la Magomeni Mjini Zanzibar, wakiwa katika Foleni ya kupimwa afya zao,a katika Hafla ya Uzinduzi wa Huduma za Afya kwa ajili ya Wazee katika Jimbo hilo.

PICHA NA MARYAM KIDIKO/ MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.