Habari za Punde

Rais Mstaafu Dk Shein aweka jiwe la msingi barabara ya Kipapo - Mgelema

RAIS Mstaafu wa awamu ya Saba ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, akikunjua kitambaa kuashiria uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya Kipapo Mgelema yenye urefu wa KM 6, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar, kulia ni Kaimu Waziri wa Wizara Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi, amabe ni Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Leila Mohamed Mussa.(PICHA NA HANIFA SALIM, PEMBA)


KAIMU Waziri wa Wizara Ujenzi Mawasiliano na Uchukuzi, ambae ni Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Leila Mohamed Mussa, akizungzuma na wananchi Kipapo-Mgelema mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi barabara hiyo, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA HANIFA SALIM, PEMBA)

RAIS Mstaafu wa awamu ya saba ya Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na wananchi wa kipapo-Mgelema mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi barabara hiyo, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA HANIFA SALIM, PEMBA)

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mattar Zahor Massoud, akitoa salamu za wananchi wa Mkoa huo katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi barabara ya kipapo-Mgelema mara baada ya uwekaji wa jiwe la msingi barabara hiyo, ikiwa ni shamrashamra za Maadhimisho ya Miaka 58 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar.(PICHA NA HANIFA SALIM, PEMBA)

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.