Habari za Punde

MAJALIWA AZUNGUMZA NA WAKUU WA MIKOA KWA NJIA YA MTANDAO KUHUSU SENSA YA WATU NA MAKAZI

 

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao na Wakuu wa Mikoa kwa njia ya mtandao kuhusu Sensa ya Watu na Makazi akiwa Ofisini kwake Mlimwa jijini Dodoma, Februari 18, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.