Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa Aongoza Kikao Kazi.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza katika Kikao cha Kazi cha Baraza la Mawaziri Kwenye ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma, Februari 16, 2022. Kulia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge na Uratibu, Dkt. Pindi Chana.
Baadhi ya washirki wa Kikao cha Kazi cha Baraza la Mawaziri wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza Kwenye ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma,
Baadhi ya washirki wa Kikao cha Kazi cha Baraza la Mawaziri wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipozungumza Kwenye ukumbi wa Hazina Jijini Dodoma, Februari 16, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.