Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Nchi zinazozalisha Mafuta kwa wingi Duniani (OPEC Fund)

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Mkurugenzi wa OPEC FUND. Dkt. Abdulhamid Al Khalifa. (kulia kwa Rais) alipofika Ikulu Zanzibar kwa mazungumzo akiwa na Ujumbe wake,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akizungumza na Ujumbe wa Opec Fund ukiongozwa na Mkurugenzi Dkt.Abdulhamid Al Khalifa (kulia kwa Rais) walipofika Ikulu Jijini Zanzibar kwa mazungumzo yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu leo. 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongozana na mgeni wake Mkurugenzi wa Opec Fund Dkt.Abdulhamid Al Khalifa (kulia kwa Rais) baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 30-3-2022.(Picha na Ikulu) 
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.