Habari za Punde

TANZANIA NA KENYA WAKUBALIANA KUONDOA CHANGAMOTO ZA BIASHARA

Waziri wa Uwekezaji ,Viwanda na Biashara  SMT Dkt. Ashatu J.Kijaji akifungua kikao maalum cha kuwasilisha baadhi ya Kero za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na kusainiwa kwa mkataba wa kuziondoa kero hizo  huko UKumbi wa mikutano Verde Mtoni Zanzibar.

Mfanya Biashara wa vifaa vya ujenzi kisiwani Pemba Said Nassor Ahmed akizungumza kuhusu changamoto za  Biashara kati ya Tanzania na Kenya  katika kikao maalum cha kuwasilisha baadhi ya Kero za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya na kusainiwa kwa mkataba wa kuziondoa kero hizo  huko UKumbi wa mikutano Verde Mtoni Zanzibar.

Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda Omar Said Shaaban akichangia mada katika mkutano maalum wa uwasilishaji na utiaji saini baadhi ya kero  za kibiashara Kati ya Tanzaina na Kenya zilizopatiwa ufumbuzi  huko Verde  Mtoni  Zanzibar.
Afisa forodha Bhiyaka Tutuba akichangia mada katika kikao maalum cha uwasiliahaji wa baadhi ya  Kero za kibiashara Kati ya Tanzania na Kenya kilichofanyika UKumbi wa mikutano Verde Mtoni  Zanzibar.
Waziri wa Fedha na Mipango  (SMT) Lamec Mwigilu  Nchemba akichangia mada katika kikao maalum cha kuwasilisha na utiaji wa saini mkataba wa kuziondoa baadhi ya  Kero za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya zilizopatiwa ufumbuzi katika ukumbi wa mikutano Verde Mtono Zanzibar.
Naibu Waziri, Afisi ya Waziri mkuu (kazi,Vijana,Ajira  na  wenye ulemavu) Mhe.Patrobas  P. Katambi akachangia mada katika mkutano maalum kuwasilisha na utiaji wa saini mkataba wa kuziondoa baadhi ya  Kero za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya zilizopatiwa ufumbuzi katika ukumbi wa mikutano Verde Mtono Zanzibar.
Waziri wa Viwanda,Biashara , na Maendeleo ya wajasiria Mali Nchini Kenya Betty Maina akizungumza katika mkutano maalum wa uwasilishaji na utiaji saini mkataba wa kuziondoa baadhi ya  kero  za kibiashara Kati ya Tanzaina na Kenya zilizopatiwa ufumbuzi  huko Verde  Mtoni  Zanzibar.
Waziri wa Uwekezaji ,Viwanda na Biashara  SMT Dkt Ashatu J.Kijaji (KUSHOTO) na Waziri wa Viwanda,Biashara , na Maendeleo ya wajasiria Mali Nchini Kenya Betty Maina wakisaini makubaliano ya kuziondoa baadhi kero za kibiashara zilizopatiwa ufumbuzi baada ya kujadiliwa na makatibu wakuu wa wizara zenye dhamana na wataalamu ,hafla iliyofanyika Ukumbi wa Mikutano Verde Mtoni Zanzibar.

Waziri wa Uwekezaji ,Viwanda na Biashara  SMT Dkt Ashatu J.Kijaji (KUSHOTO) na Waziri wa Viwanda,Biashara , na Maendeleo ya wajasiria Mali Nchini Kenya Betty Maina wakionyesha hati maalum za makubaliano ya kuondoa baadhi ya kero za kibiashara kati ya Tanzania na Kenya mara baada ya kusaini hati hizo huko Ukumbi wa Mikutano Verde Mtoni Zanzibar.

Waziri wa Nchi Afisi ya Rais,Kazi ,Uchumi na Uwekezaji Mudrik Ramadhan Soraga akifunga mkutano maalum wa uwasilishaji na utiaji saini kero  za kibiashara Kati ya Tanzaina na Kenya zilizopatiwa ufumbuzi  huko Verde  Mtoni  Zanzibar.

Wajumbe katika mkutano maalum wa kuwasilisha na utiaji saini mkataba wa kuondoa baadhi ya kero za Biashara kati ya Tanzania na Kenya wakifuatilia mkutano huo uliofanyika Verde Mtono Zanzibar.

PICHA NA FAUZIA MUSSA- MAELEZO ZANZIBAR.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.