Habari za Punde

KIKAO KAZI NA MAFUNZO KWA WENYEVITI WA MABARAZA CHAANZA TANGA

Mkurugenzi wa Idara ya Sheria Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Michael Luena akizungumza katika kikao Kazi na Mafunzo cha Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba nchini kinachoendelea mkoani Tanga tarehe 4 April 2022.
Jaji wa Mahakama Kuu ya Tanzania Kitengo cha Ardhi Benhaji Masoud akiwasilisha mada kwenye kikao Kazi na Mafunzo cha Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba kinachoendelea mkoani Tanga
Msajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba nchini Stella Tullo akizungumza wakati wa kikao Kazi na Mafunzo cha Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kinachoendelea mkoani Tanga
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali Watu Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Zakariyya Kerra akizungumza katika kikao Kazi na Mafunzo cha Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya kinachoendelea mkoani Tanga
Sehemu ya Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya wakiwa katika kikao kazi na mafunzo cha wenyeviti hao kinachoendelea mkoani Tanga
Sehemu ya Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya wakiwa kwenye kikao Kazi na Mafunzo cha Wenyeviti hao kinachoendelea mkoani Tanga 
Sehemu ya Wenyeviti wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya wakiwa katika kikao kazi na mafunzo cha wenyeviti hao kinachoendelea mkoani Tanga.tarehe 4 April 2022.

 (PICHA NA WIZARA YA ARDHI)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.