Habari za Punde

Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) Yaadhimisha Miaka 50 ya Kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Sheikh Abeid Amani Karume. Kwa Usafi Nyumba za Wazee Sebleni.

Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), wakifanya usafi katika Maeneo ya Nyumba za Wazee Sebleni , kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume.

Baadhi ya Wanafunzi kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), wakitengeneza Swichi za taa za Jikoni huko  Nyumba za Wazee Sebleni, kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.

Wanafunzi kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), wakifanya matengenezo ya Choo, huko Nyumba za Wazee Sebleni, kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.
Mwalimu wa Ufundi Bomba kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) Ali Khatib Abdulla, akikaguwa Bomba la maji lililopasuka huko Nyumba za Wazee Sebleni, kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.
 Mwalimu wa Ufundi Bomba kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) Ali Khatib Abdulla, akitoa maelezo ya utengenezaji wa Mfereji huko Nyumba za Wazee Sebleni, kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.
Wanafunzi kutoka Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) Khamiss Maulid Mkuyu (Kulia) na ( Kushoto) ni Juma Masoud Juma, wakipachika feni Jipya katika chumba cha miongoni mwa Wazee wanaoishi Nyumba za Sebleni, ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), wakifanya usafi katika Maeneo ya Nyumba za Wazee Sebleni , kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume.
Mwanafunzi kutoka  Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) Rajab Hamadi Ali, akitengeneza Taa katika Nyumba za Wazee Sebleni kwa lengo la kuadhimisha Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo.
Mrajis  wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Latifa Salmin Ufuzo (kulia) akimkabidhi zawadi ya Kanga Mlezi wa Wazee Ashura Sleiman Juma , kwa ajili ya Wazee wanaoishi  Nyumba za Sebleni, Ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo, huko  Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.
Mkurugenzi Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Mahmoud Abdulwahab Alawi akimkabidhi zawadi za Vifaa vya Umeme, Maji,Mavazi na Vitu vya kupikia Mlezi wa Wazee Ashura Sleiman Juma , kwa ajili ya Wazee wanaoishi  Nyumba za Sebleni, Ikiwa ni Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo, huko  Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.

Mkurugenzi Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Mahmoud Abdulwahab Alawi akizungumza  katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo, huko  Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), waliyohudhuria katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.
 Baadhi ya Wazee wanaoishi Nyumba za Wazee Sebleni, wakiwa katika hafla ya Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST) huko  Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.
Mrajis  wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), Latifa Salmin Ufuzo akigawa Kanga kwa Wazee wanaoishi Nyumba Sebleni, ikiwa ni  Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo, huko  Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.
Baadhi ya Wafanyakazi wa Taasisi ya Karume Sayansi na Teknolojia Zanzibar (KIST), waliyohudhuria katika Maadhimisho ya Miaka 50 ya kumuenzi Rais wa Kwanza wa Zanzibar Shekh Abeid Amani Karume, yaliyoandaliwa na Taasisi hiyo, hafla iliyofanyika Ukumbi wa Wazee Sebleni Mjini Zanzibar.
 PICHA NA MARYAM KIDIKO/ TAASISI YA KARUME SAYANSI NA TEKNOLOJI ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.