Habari za Punde

Mhe Shamsi Nahodha Ameapishwa Leo Bunge Jijini Dodoma

Spika wa Bunge la Jamhri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. Tulia Ackson akimuapisha Mheshimiwa Shamsi Vuai Nahodha kuwa Mbunge, bugeni jijini Dodoma, Aprili 5, 2022.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Arusha Mjini, Mrisho Gambo, bungeni jijini Dodoma
Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Ardhi, Nyumba na Mendeleo ya Makazi Mhe.Dkt. Angelina Mabula, bungeni jijini Dodoma leo  Aprili 5, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.