Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amefungua Kongamano la Kitaifa la Ufuatiliaji na Tathimini.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza wakati ufunguzi wa Kongamano  la Kitaifa la Ufuatiliaji na Tathimini kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma.

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa akizungumza wakati ufunguzi wa Kongamano  la Kitaifa la Ufuatiliaji na Tathimini kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma.

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi  wa Umma na Utawala Bora, Jenista Mhagama  akizungumza katika Kongamano la kitaifa la Ufuatiliaji na Tathimini  lililofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa PSSSF jijini Dodoma, Aprili 27, 2022.  Kushoto ni Naibu Waziri wa Wizara hiyo, Deogratius Ndejembi.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.