Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwasili katika
Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa
Falme za Kiarabu kushiriki Ibada katika Kanisa hilo
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiweka saini katika kitabu maalum mara
baada ya kushiriki ibada katika Kanisa
Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme
za Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022. Pembeni ni Askofu wa Jimbo hilo Mhashamu
Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi wa Baba Mtakatifu katika nchi za Arabia
ya Kusini..jpg)
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada
katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph
lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akishiriki Ibada
katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph
lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu.
Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akizungumza na
Askofu wa Jimbo la Abu Dhabi Mhashamu Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi
wa Baba Mtakatifu katika nchi za Arabia ya Kusini mara baada ya kushiriki ibada
katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi,
Umoja wa Falme za Kiarabu

Askofu wa Jimbo la
Abu Dhabi Mhashamu Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi wa Baba Mtakatifu
katika nchi za Arabia ya Kusini akimkabidhi zawadi ya kitabu cha Sala Makamu wa
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango mara
baada ya mazungumzo yaliofanyika katika Kanisa Kuu la Mtakatifu Joseph lililopo
eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za Kiarabu.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na Askofu wa Jimbo
la Abu Dhabi Mhashamu Askofu Paul Hinder ambaye ni mwakilishi wa Baba Mtakatifu
katika nchi za Arabia ya Kusini mara baada ya kushiriki ibada katika Kanisa Kuu
la Mtakatifu Joseph lililopo eneo la Mushriff – Abu Dhabi, Umoja wa Falme za
Kiarabu leo tarehe 16 Mei 2022.
No comments:
Post a Comment