Msafara wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi ukiongozwa na mapikipiki ya Jeshi la Polsi ukiwasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar, kwa ajili ya kulihutubia Baraza la Eid El Fitry, baada ya kumalizika kwa mfungo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akipokea salamu ya heshima kutoka Kikosi
cha Jeshi la Polisi cha FFU gwaride maalumu lilioandaliwa kwa ajili ya Baraza
la Eid Fitry katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni
Unguja Jijini Zanzibar leo 3-5-2022

Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia tafsiri ya maelezo mafupi ya Aya Suratul-Fat’hi wakati
wa hafla ya Baraza la Eid Fitry lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa
Abdulwakil Kikwajuni Unguja na (kushoto kwa Rais) Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh
Saleh Omar Kabi na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais
Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia Baraza la Eid Fitry katika
ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo
3-5-2022, baada ya kumalizika kwa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi
akifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti
wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akilihitubia katika ukumbi
wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar na (kulia kwake)
Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said
na (kushoto kwake) Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Zainab Kombo
Shaib na Mke wa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mama Sharifa Omar Khalfan
BAADHI ya Mawaziri na Wageni waalikwa katika
hafla ya Baraza la Eid Fitry wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akilihutubia katika
ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo
3-5-2022

BAADHI ya Mabalozi wadogo wanaowakilisha Nchi zao
Zanzibar na wageni waalikwa wakifuatilia hutuba ya Baraza la Eid Fitry wakati Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali
Mwinyi.(hayupo pichani) akilihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar leo 3-5-2022
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiitikia dua baada ya kumaliza
kulihutubia Baraza la Eid Fitry katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil
Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar, ikisomwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh
Saleh Omar Kabi (kushoto kwa Rais) na kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Wananchi katika viwanja
vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Unguja Jijini Zanzibar, baada
ya kumaliza kulihutubia Baraza la Eid Fitry katika ukumbi huo leo 3-5-2022
No comments:
Post a Comment