Habari za Punde

Hafla ya kuapishwa kwa Majaji wapya walioteuliwa na Rais Dk Hussein Mwinyi Ikulu leo

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla (kulia)kuwa Jaji Mkuu wa Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla uteuzi alikaimu nafasi hiyo.[Picha na Ikulu] tr28/06/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Said Hassan Said (kulia)kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo   Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla  alikuwa Mwanasheria Mkuu Awamu ya 7 Uongozi uliopita .[Picha na Ikulu] tr28/06/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Salma Ali Hassan (kulia)kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo   Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar kabla alikuwa Mkurugenzi Mashtaka Zanzibar .[Picha na Ikulu] tr28/06/2022.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt.Hussein Ali   Mwinyi (kushoto) akimuapisha Mhe.Mohamed Ali Mohamed  (kulia)kuwa Jaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibarkabla alikuwa Mrajis wa Mahkama Kuu.[Picha na Ikulu] tr28/06/2022.


Wakuu wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama Zanzibar wakishuhudia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akiwaapisha  Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] tr28/06/2022.
Baadhi ya Wageni walioalikwa katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] tr28/06/2022. 

Majaji wa Mahkama Kuu ya Zanzibar wakishuhudia kuapishwa kwa Majaji wapya walioteuliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dkt.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)  katika hafla iliyofanyika leo Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] tr 28/06/2022.

Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe.Haroun Ali Suleiman na  Viongozi wengine ni miongoni mwa Waalikwa waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] tr28/06/2022. 

Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Dkt.Mwinyi Talib Haji (kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu Mhe.Jamal  Kassim Ali na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said  ni miongoni mwa Viongozi  waliohudhuria katika hafla ya kuapishwa Majaji wa Mahkama Kuu wa Zanzibar leo katika Ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.[Picha na Ikulu] tr28/06/2022. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.