Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano Mhe.Mpango Akiwasili Dodoma.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Dodoma Anthony Mtaka ,Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Pindi Chana pamoja na viongozi mbalimbali wakati alipowasili katika Uwanja wa Ndege wa Dodoma akitokea mkoani Dar es salaam leo tarehe 8 Juni 2022.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.