Habari za Punde

Waziri Mkuu apokea taarifa ya utekelezaji wa operesheni ya anwani za makazi

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimkabidhi taarifa ya utekelezaji wa operesheni anwani za makazi Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Hemed Suleiman Abdullah Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipokea taarifa ya utekelezaji wa operesheni ya anwani za makazi kutoka kwa Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye, Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Juni 18,2022Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza baada ya kupokea taarifa ya utekelezaji wa operesheni anwani za makazi, Katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere, Jijini Dar es Salaam, Juni 18,2022
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.