Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe . Hemed Suleiman Abdulla akikata utepe kuzindua kituo cha kutoa mafunzo ya utalii , Zenji Centre of Excellence for Tourism (ZCET) huko Michamvi Kae.
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe . Hemed Suleiman Abdulla na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa wakisiliza maelezo kuhusu kituo cha kutoa mafunzo ya utalii kwaajili ya kupata ujuzi (ZCET) kutoka kwa Meneja wa Mradi huo Talal Aturkan wakati wa uzinduzi wa kituo hicho huko hoteli ya Sansi Kae Beach resort Michavi Mkoa wa kusini Unguja.

Mwenyekiti wa kituo cha kutolea mafunzo ya Utalii Zenji Centre of Excellence for Tourism ( ZCET) Mhe.Taufiq Turkey akizungumza wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo hicho huko hoteli ya Sansi Kae Michavi Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Mkuu wa Mkoa wa kusini Unguja Mhe. Rashid Hadid Rashid akitoa salam za Mkoa wakati wa hafla ya uzinduzi wa kituo cha kutoa mafunzo ya utalii ZCET huko hoteli ya Sansi Kae Beach Resort Michavi Mkoa wa kusini Unguja
Makamu wa Pili wa Rais Mhe . Hemed Suleiman Abdulla akizungumza na wadau wa Utalii wakati akizindua kituo cha kutolea mafunzo ya Utalii huko Michamvi Kae Mkoa wa Kusini Unguja
Wadau wa Utalii wakifuatilia hafla ya uzinduzi wa kituo cha kutoa mafunzo ya utalii (ZCET) uliyofanyika katika Hoteli ya Sansi Kae Beach resort Michavi Mkoa wa kusini Unguja.
Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa Zenji Centre of Excellence for Tourism (ZCET) Mhe.Taufiq Turkey wakati wa uzinduzi wa kituo hicho huko Kendwa Kae
Picha na Fauzia Mussa –MAELEZO ZANZIBAR.
No comments:
Post a Comment