Habari za Punde

Wanahabari wapewa taaluma juu ya maradhi yasiyoambukiza

Afisa kutoka Kitengo cha  maradhi yasiyoambukiza dkt.Lulu akiwasilisha mada ya saratani wakati wa Mafunzo ya kuwajengea uelewa waandishi wa Habari juu ya maradhi mbalimbali yasiyoambukizwa huko Kidongo Chekundu Zanzibar.PICHA NA FAUZIA MUSSA MAELEZO ZANZIBAR.
Waandishi wa habari wakisikiliza kwa makini mada ya Saratani wakati wa mafunzo ya kujenga uelewa juu ya maradhi mbalimbali yasiyoambukiza huko Kidongo Chekundu Zanzibar.  PICHA NA FAUZIA MUSSA MAELEZO ZANZIBAR.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.