Habari za Punde

Matukio ya Picha Waziri Mkuu Mhe.Majaliwa Bungeni Jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Naibu Waziri Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya bungeni jijini Dodoma

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge wa Viti Maalum, Catherine Magige (kushoto) na  Esther Maleko kwenye viwanja vya Bunge jijini Dodoma, Septemba 19, 2022. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.