Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwasili Hoteli ya Serena jijini Dar es Salaam
kwa ajili ya kufungua Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo kwa niaba
ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
ulioanza leo Septemba 1, 2022. Kulia ni Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi.
Mary Maganga na Naibu Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt.
Switbert Mkama.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiteta na Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa
Rais Bi. Mary Maganga kabla ya kufungua Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na
Maendeleo kwa niaba ya Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Dkt. Philip Mpango.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na
Mazingira) Mhe. Dkt. Selemani Jafo akiwa na viongozi mbalimbali kabla ya
kufungua kufungua Mkutano wa Mabadiliko ya Tabianchi na Maendeleo kwa niaba ya
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango
ulioanza leo Septemba 1, 2022.
(PICHA NA OFISI YA MAKAMU WA RAIS)
No comments:
Post a Comment