Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar akipokea Kombe la ubingwa wa mchezo wa Mpira wa Pete kutoka kwa Katibu wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Raya Issa Msellem walilolipata katika mashindano yaliyofanyika Jijini Arusha.
Kocha Mkuu wa Timu ya Taifa ya ya Zanzibar {Zanzibar heroes} Hemed Suleiman Moroko akipokea msaada wa vifaa vya michezo kutoka kwa Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Zubeir Ali Maulid vilivyotolewa na uongozi wa Klabu ya Michezo ya Baraza la Wawakilishi kwa ajili ya kujiandaa na michezo yake mbali mbali inayoikabili Timu hiyo .
No comments:
Post a Comment