Meneja kitengo cha Elimu ya Afya Kwa umma Zanzibar Hamad Bakar Magarawa akitoa taarifa Kwa vyombo vya habari kuhusiana na idadi ya wagonjwa wa Surua Zanzibar huko Ofisini kwake Sogea
Waandioshi wa habari wa vyombo mbalimbali Unguja wakifuatilia Mada ikiwasilishwa na Meneja kitengo cha Elimu ya Afya Kwa umma Zanzibar Hamad Bakar Magarawa akitoa taarifa Kwa vyombo vya habari kuhusiana na idadi ya wagonjwa wa Surua Zanzibar huko Ofisini kwake Sogea
Muhamasishaji Kitengo cha Elimu ya Afya kwa Umma Asya Sleiman akiwasilisha mada kuhusu UVIKO 19 Kwa Waandishi wa Habari wakati wa mafunzo ya kuwajengea uelewa juu ya maradhi hayo huko Ofisi za elimu ya Afya Kwa umma Sogea Zanzibar.
PICHA NA FAUZIA MUSSA-MAELEZO ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment