Habari za Punde

Ziara ya Makamu Mwenyekiti wa CCM Tanzania Bara Ndg.Abdulrahaman Kinana Mkoani Kigoma Kukagua Uhai wa Chama

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akiwasili Uwanja wa Ndege wa Kigoma kwa ziara ya kikazi kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025. Katika ziara hiyo Kinana ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akiwa ameambatana na viongozi wengine akikagua ujenzi wa bandari ya Ujiji mkoani Kigoma akiwa katika ziara ya kikazi kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025. Katika ziara hiyo Kinana ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kanali Mstaafu, Abdulrahman Kinana akiwa eneo la Bandari ya Kigoma alipotembelea kukagua ukarabati mkubwa wa meli ya mafuta ya Mt Sangara akiwa katika ziara ya kikazi kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya 2020-2025.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akiwa ndani ya Meli kongwe ya Mv Liemba ambayo inafanyiwa ukarabati mkubwa. Kulia kwake ni Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka. 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akisalimiana na Mwenyekiti MSTAAFU wa CCM Wilaya ya Kigoma Mjini, Kassim Nyamkunga baada ya kuwasili mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025. Katika ziara hiyo Kinana ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana,Akizungumza na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka.
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana,Akiwa amenyenyua juu kitabu Cha Historia ya Moka wa Kigoma mara baada ya Kukabidhiwa rasmi na Viongozi wa CCM Mkoa wa Kigoma.

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Kanali Mstaafu Abdulrahman Kinana, akizungumza na viongozi wa Chama na serikali pamoja na Wanachama wa CCM katika Mkutano wa  ndani uliofanyika kwenye Ukumbi wa Anglikana Mkoa wa Kigoma akiwa katika ziara ya kikazi kukagua uhai wa Chama na utekelezaji wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM 2020-2025. Katika ziara hiyo Kinana ameambatana na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) ya CCM, Itikadi na Uenezi, Shaka Hamdu Shaka.

 (Picha zote na Fahad Siraji wa CCM). 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.