Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe.Majaliwa Afungua Mkutano wa Ngazi za Juu Kuhusu Mapambano Dhidi ya UKIMWI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati akifungua mkutano wa Ngazi ya Juu wa Kuwezesha Vipaumbele vya Wanawake na Wasichana katika Mapambano dhidi ya Virusi vya UKIMWI, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Serena jijini Dar Es Salaam

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Umoja wa Mataifa na UKIMWI Duniani, Winnie Byanyima baada ya kufungua mkutano wa Ngazi ya Juu wa Kuwezesha Vipaumbele vya Wanawake na Wasichana katika Mapambano dhidi ya Virusi vya UKIMWI, uliofanyika kwenye Ukumbi wa Mikutano wa Hoteli ya Serena jijini Dar Es Salaam, Oktoba 11, 2022.
 (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.