Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi afungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akifuatana na Mkurugenzi Mtendaji  Shirika la Maendeleo la Kimataifa linalohuka na Idadi ya Watu na Maendeleo ya Afya ya Uzazi na Jinsia (UNFPA) Dr.Natalia Kanem (kushoto) wakati alipowasili katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo,kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia  utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi .[Picha na Ikulu] 10/11/2022.


Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipofanya mazungumzo na kupata maelezo kutoka kwa Viongozi kabla ya kufungua   kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia  utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo.[Picha na Ikulu] 10/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza  Mkurugenzi Mtendaji  Shirika la Maendeleo la Kimataifa linalohuka na Idadi ya Watu na Maendeleo ya Afya ya Uzazi na Jinsia (UNFPA) Dr.Natalia Kanem (kushoto)wakati alipokutana na  Viongozi kabla ya kufungua   kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia  utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo.[Picha na Ikulu] 10/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana  na Mwana wa Malkia wa Nchini Denmak Princess Mary,alipofika katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo kabla ya  kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia  utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi .[Picha na Ikulu] 10/11/2022.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na  na Mwana wa Malkia wa Nchini Denmak Princess Mary,alipofika katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo kabla ya  kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia  utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi .[Picha na Ikulu] 10/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati)  Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) wakifurahia jambo leo kabla ya  kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia  utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja (kushoto) Mwana wa Malkia wa Nchini Denmak Princess Mary.[Picha na Ikulu] 10/11/2022.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Kimataifa wa kusimamia  utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani)alioufungua leo katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja .[Picha na Ikulu] 10/11/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipofuatana  na Rais Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete (kulia)  kabla ya  kuufungua mkutano wa Kimataifa wa kusimamia  utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi leo katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja.[Picha na Ikulu] 10/11/2022.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Kimataifa wa kusimamia  utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi  wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alioufungua leo katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja .[Picha na Ikulu] 10/11/2022.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Kimataifa wa kusimamia  utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi  wakimsikiliza  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alioufungua leo katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja .[Picha na Ikulu] 10/11/2022.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiufungua   mkutano wa Kimataifa wa kusimamia  utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo.[Picha na Ikulu] 10/11/2022.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akiufungua   mkutano wa Kimataifa wa kusimamia  utekelezaji wa makubaliano ya Kimataifa kuhusu utoaji wa huduma bora kwa kinamama na watoto pamoja na afya ya uzazi katika Hoteli ya Melia Kiwengwa Wilaya Kaskazini "B" Unguja leo.[Picha na Ikulu] 10/11/2022.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.