Habari za Punde

Ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM Dodoma

Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Daniel Chongolo akizungumza na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dodoma Ndugu Adam Kimbisa (kulia) muda mfupi kabla ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.

 

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Abdulrahman Kinana akiteta jambo na Katibu Mkuu wa chama hicho Ndugu Daniel Chongolo (kushoto) muda mfupi kabla ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.

Baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wakiwa kwenye shangwe ikiwa sehemu ya ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
Baadhi ya wajumbe wa mkutano Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wakiendelea kusikiliza kwa makini katika ufunguzi wa mkutano mkuu wa kumi wa Jumuiya ya Wazazi uliofanyika kwenye ukumbi wa Chuo cha Mipango mjini Dodoma.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.