Habari za Punde

Inshaa-allah tusaidiane kutafuta Wafadhili kwa ujenzi wa Masjid Hudaa Langoni Popote pale Duniani Khery Kubwa Itapatikana

Asalaam Aleykum Wananchi wote Tuna omba letu la ujenzi wa Msikiti wa Langoni umekuwa katika hali mbayo na tayari unavuja kwa kuona hilo kamati yetu ya Msikiti inatafuta Udhamini wa kwa Waumini wa Ndani na Nje ili kuweza kuujenga upya tena na kwa kiwango cha ghorofa na ramani yake ndio hiyo.

 Inshaa-allah tusaidiane kutafuta Wafadhili kwa ujenzi huo popote pale Duniani Khery Kubwa Itapatikana Inshaa-Allah Khery.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.