Habari za Punde

Tamasha Maalumu la kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar, Maisara

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Mkewe Mama Mariam Mwinyi wakisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Chama na Serikali alipowasili katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja kuhudhuria Tamasha la Usiku wa Dk.Mwinyi la kumpongeza kuwa Makamu wa Mwenyekiti wa CCM Zanzibar lililofanyika jana usiku 11-12-2022.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifurahia burudani ya Wasanii mbalimbali wakati wa Tamasha Maalumu la Usiku wa Dk.Mwinyi  la kumpongeza kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, lililoandaliwa na CCM katika viwanja Maisara Suleiman Unguja jana usiku 11-12-2022, na kuwashirikisha Wasanii wa Vikundi mbalimbali (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) na (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)
WASANII wa muziki wa Bongo Fleva kutoka Dar es Salaam wakitowa burudani wakati wa Tamasha Maalumu la kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi, lililofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Wilaya ya Mjini jana usiku 11-12-2022.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM)Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Tamasha la kumpongeza kuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, lililoandaliwa na CCM Zanzibar la Usiku wa Dk.Mwinyi lililofanyika jana usiku 11-12-2022 katika viwanja vya Maisara Suleiman Unguja Wilaya ya Mjini na (kushoto kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Abdalla Juma Sadala (Mabodi) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Mke wa Rais Mstafu wa Tanzania Mama Siti Mwinyi na (kula kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.(Picha na Ikulu)
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na kuwapongeza Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva, baada ya kumaliza kutowa burudani katika Tamasha Maalum la Usiku wa Dk.Mwinyi lililofanyika katika  viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 11-12-2022, lililoandaliwa na CCM Zanzibar na kuwashirikisha Wasanii wa vikundi mbalimbali wa Muziki wa Taraab na Bongo Fleva.(Picha na Ikulu)
WASANII wa Kikundi cha Tam Tam wakitowa burudani wa wimbo maalumu wakati wa  Tamasha Maalumu la Usiku wa Dk.Mwinyi la kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, lililofanyika jana usiku 11-12-2022, katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja, lililoandaliwa na CCM Zanzibar na kuwashirikisha Wasanii mbalimbali.(Picha na Ikulu)
WASANII wa Kikundi cha Wajela jela Taarab wakitowa burudani kwa wimbo maalumu wa kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi wakati wa  Tamasha Maalumu la Usiku wa Dk.Mwinyi, lililofanyika jana usiku 11-12-2022, katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja, lililoandaliwa na CCM Zanzibar na kuwashirikisha Wasanii mbalimbali wa muziki wa taarab na bongo fleva.(Picha na Ikulu)
MSANII Cholo Ganuni akitowa burudani kwa wimbo maalumu wa kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa Tamasha Maalumu la Usiku wa Dk.Mwinyi lililofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 11-12-2022, lililoandaliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MSANII wa Muziki wa Bongo Fleva Diamond akitowa burudani kwa Wananchi wa Zanzibar katika Tamasha Maalumu la Usiku wa Dk.Mwinyi la kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar.Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  lililofanyika jana usiku 11-12-2022 katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja, lililoandaliwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar.(Picha na Ikulu)

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekitri wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi fulana ya CCM Msanii wa Muziki wa Bongo Fleva Diamond Platnumz, baada ya kumaliza kutowa burudani kwa Wananchi wa Zanzibar, wakati wa Tamasha Maalumu la Usiku wa Dk.Mwinyi, lililofanyika katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana usiku 11-12-2022.(Picha na Ikulu)


Wananchi wa Zanzibar wakifuatilia Tamasha la Usiku wa Dk.Mwinyi la Kumpongeza Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi lililofanyika jana usuku 11-12-2022, katika viwanja vya Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.