Habari za Punde

Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Chukwani

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaaf wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume alipowasili katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja kwa ajili ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-01-2023 na (kushoto) Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakielekea katika viwanja vya Mahafali Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt.Amani Abeid Karume na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Makamo Mkuu wa Chuo Prof. Msafiri Mshewa.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika Maandamano ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakielekea katika viwanja vya Mahafali Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023, na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe. Dkt.Amani Abeid Karume na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa na (kushoto kwa Rais) Makamo Mkuu wa Chuo Prof. Msafiri Mshewa

WAHITIMU wa Mahafali ya 22 ya Chuo cha Abdulrahman Al-Sumait University Zanzibar  wakiwa katika maandamano wakielekea katika viwanja vya Mahafali vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, kwa ajili ya kutunukiwa Shahada leo 21-1-2023
///WAHITIMU wa Mahafali ya 22 ya Chuo cha Abdulrahman Al-Sumait University Zanzibar  wakiwa katika maandamano wakielekea katika viwanja vya Mahafali vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja, kwa ajili ya kutunukiwa Shahada leo 21-1-2023


RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa, wakiwa katika viwanja vya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-1-2023, Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
MKUU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume akizungumza kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kuzungumza na Wahitimu wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-1-2023 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar wakati wa mahafali hayo yaliyofanyika katika viwanja vya chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa zawadi maalumu na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume, wakati wa hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-1-2023 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B”Unguja


BAADHI ya Wazee wa Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakihudhuria hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-1-2023 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia
BAADHI ya Wazee wa Wahitimu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, wakihudhuria hafla ya Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika leo 21-1-2023 katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia
MKUU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume, akiwatunuku Shahada Wahitimu wa Chuo hicho kwa mwaka 2021/2022,  wakati wa Mahafali ya 22 yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023 na (kulia) Makamu Mkuu wa Chuo Prof. Msafiri Mshewa
WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar kwa mwaka 2021 /2022 “Master of Arts in Shariah and Islamic Jurisprudence” wakitunukiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume.(hayupo pichani)  wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023
WAHITIMU wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar kwa mwaka 2021 /2023 Ngazi ya Cheti Komputa na Hahari, wakitunukiwa na Mkuu wa Chuo Kikuu cha Abdulrahman Al-Sumait Zanzibar, Rais Mstaafu wa Zanzibar Mhe.Dkt.Amani Abeid Karume.(hayupo pichani)  wakati wa Mahafali ya 22 ya Chuo hicho yaliyofanyika katika viwanja vya Chuo Chukwani Wilaya ya Magharibi “B” Unguja leo 21-1-2023 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.