
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe kiufungua Skuli ya Sekondari ya Makangale Kaskazini Pemba Iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika le Fedha Duniani IMF,katika maadhimisho ya Sherehe za shamra shamra za Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar.[Picha na Ikulu] 02/01/2023.
Wanafunzi wa Skuli ya Makangale wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akizungumza na Viongozi,Wananchi wa Vijiji vya Wilaya ya Micheweni wakati wa ufunguzi Skuli ya Sekondari ya Makangale Kaskazini Pemba Iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar kwa Fedha za Uviko 19 kupitia Shirika le Fedha Duniani IMF,katika maadhimisho ya Sherehe za shamra shamra za miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar .[Picha na Ikulu] 02/01/2023
No comments:
Post a Comment