Habari za Punde

Rais Mhe Samia azungumza katika mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula jijini Dakar Senegal


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa Masuala ya Kilimo na Chakula ambao uliwahusisha Wadau wa Makampuni mbalimbali pamoja na Wawekezaji, Dakar nchini Senegal tarehe 25 Januari, 2023. Katika Mkutano huo ambao Tanzania ilikuwa Mwenyeji, Mhe. Rais Samia aliambatana na baadhi ya Mawaziri pamoja na wakuu wa Taasisi Mbalimbali
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.