Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi ameweka jiwe la msingi Jengo la Ofisi na Maabara ya Kituo cha Nguvu za Atomu Dunga Zuze

MUONEKANO wa Jengo la Kituo cha Ofisi na Maabara ya Tume ya Nguvu za Atomu Dunga Zuze Wilaya ya Kati Unguja lililoweka, Jiwe la Msingi la ujenzi huo na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi leo 16-2-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbalimbali wa Serikali alipowasili katika viwanja vya Ujenzi wa Kituo cha Ofisi na Maabara  ya Tume ya Atomu Dunga Zuze Wilaya ya Kati Unguja kwa ajili ya kuweka la Jiwe la Msingi la ujenzi wa Kituo hicho leo 16-2-2023.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikilia Mshauri Elekezi Dkt.Justin Ngaile akitowa maelezo ya Kitaalamu ya ujenzi wa Jengo la Ofisi na Maabara ya Kituo cha Nguvu za Atomu Dunga Zuze Wilaya ya Kati Unguja, wakati wa uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Kituo hicho leo 16-2-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikilia Mshauri Elekezi Dkt.Justin Ngaile akitowa maelezo ya Kitaalamu ya ujenzi wa Jengo la Ofisi na Maabara ya Kituo cha Nguvu za Atomu Dunga Zuze Wilaya ya Kati Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Kituo hicho leo 16-2-2023, na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kulia kwa Rais) Naibu Waziri wa Elimu Sayansi na Teknolojia Tanzania Mhe.Omar Juma Kipanga na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuweka Jiwe la Msingi la Ofisi na Maabara ya Tume ya Nguvu za Atomu Dungu Zuze Wilaya ya Kati Unguja leo 16-2-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akipiga makofi baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ofisi na Maabara ya Tume ya Nguvu za Atomu Dungu Zuze Wilaya ya Kati Unguja leo 16-2-2023, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikilia Mkurugenzi Uendeshaji Teknolojia ya Mionzi Dkt. R. Kawala akitowa maelezo ya Kitaalamu kuhusiana na mionzi, wakati wa hafla ya uwekaji wa jiwe la Ofisi na Maabara ya Kituo cha Nguvu za Atomu Dunga Zuze Wilaya ya Kati Unguja leo 16-2-2023, na (kushoto kwa Rais) Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi Rashid na (kulia kwa Rais) Naibu Waziri wa Elimu,Sayansi na Teknolojia Mhe. Omar Juma Kipanga.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika eneo lililotengwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi, baada ya kumaliza kuweka Jiwe la Msingi la Kituo cha Ofisi na Maabara ya Tume ya Nguvu za Atomu Dunga Zuze Wilaya ya Kati Unguja leo 16-2-2023, na (kulia kwa Rais) Waziri wa Afya Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadidi.
WANANCHI wa Wilaya ya Kati Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Ofisi na Maabara ya Tume Nguvu za Atomu Dunga Zuze Wilaya ya Kati Unguja leo 16-2-2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa na Viongozi mbalimbali katika jukwaa kuu wakati ukipingwa wimbo wa Taifa na wa Afrika Mashariki wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Kituo cha Ofisi na Maabara ya Tumu ya Nguvu za Atomu Dunga Zuze Wilaya ya Kati Unguja leo 16-2-2023.
Wasoma Utenzi maalumu wa uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Kituo cha Ofisi na Maabara  ya Tume ya Nguvu za Atomu Dinga Zuze Wilaya ya Kati Unguja, Bi. Aisha Salim na Abubakar Mcha, wakisoma utenzi wakati wa hafla hiyo leo 16-2-2023.











 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia katika hafla ya uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Kituo cha Ofisi na Maabara ya Tume ya Nguvu za Atomu Dunga Zuze Wilaya ya Kati Unguja leo 16-2-2023.
WAJUMBE wa Bodi ya Wakurugenzi wa Tume ya Nguvu za Atomu Tanzania wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akihutubia katika hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ofisi na Maabara ya Tume ya Nguvu za Atomu Dungu Zuze Wilaya ya Kati  Mkoa wa Kusini Unguja leo 16-2-2023
MSANII wa Kizazi Kipya (Bongo Fleva) Msechu akitowa burudani kwa wimbo maalumu wakati wa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la ujenzi wa Ofisi na Maabara ya Tume ya Nguvu za Atomu Dunga Zuze Wilaya ya Kati Unguja leo 16-2-2023.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.