Habari za Punde

Kilele cha Maadhimisho ya Wiki ya Maabara Duniani

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akisalimiana na Katibu Mkuu Wizara ya Afya Zanzibar Dkt.Maryam na Viongozi wa Jumuiya ya Maabara Zanzibar, alipowasili katika viwanja vya ukumbi wa Sheikh.Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Unguja kumuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika Maadhimishi ya Kilele cha Wiki ya Maabara Duniani.  
Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdulla akitembelea maonesho  wa Maadhimisho ya Kilele cha Wiku ya Maabara Duniani yaliyofanyika katika viwanja vya Ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar.  

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah akihutubia katika ukumbi wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni Wilaya ya Mjini Jijini Zanzibar, wakati wa Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Maabara Duniani, akimuwakilisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk.Hussein Ali Mwinyi, Maadhimisho hayo yamefanyika katika ukumbi wa mikutano wa Sheikh Idrissa Abdulwakil Kikwajuni leo 29-4-2023. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.