MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na
Viongozi wa CCM alipowasili katika viwanja vya Afisi ya CCM Amani Mkoa wa Mjini
Kichama,kuaza kwa ziara yake katika leo 14-5-2023 kukagua mali za Chama na
kuimarisha Chama cha Mapinduzi
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akikabidhiwa
Taarifa ya Mali za Chama kabla ya kuaza kwa ziara yake kukagua Mali za Chama
cha Mapinduzi katika Mkoa wa Mjini Kichama leo 14-5-2023,akikabidhiwa na Katibu
wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Salum Suleiman Tate (kushoto kwa Rais) Naibu
Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza
Katibu wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Salum Suleiman Tate akiwasilisha
taarifa za Mali za Chama katika Mkoa wa Mjini Kichama kabla ya kuaza kwa ziara
yake kukagua Mali za Chama katika eneo la Amani leo 14-5-2023, na (kushoto kwa
Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na (kulia kwa
Rais) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndg. Talib Ali Talib.
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea na
kukagua Mali za Chama Cha Mapinduzi katika Mkoa wa Mjini Kichama, wakati wa
ziara yake katika Mkoa huo leo 14-5-2023 akitembelea eneo la Amani CCM Mkoa na
(kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na
(kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Kitwana
Mustafa na Makamu Mwenyekiti wa Wazazi Bi. Dogo Iddi Mabrouk
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea na
kukagua Mali za Chama Cha Mapinduzi katika Mkoa wa Mjini Kichama, wakati wa
ziara yake katika Mkoa huo leo 14-5-2023 akitembelea eneo la Amani CCM Mkoa na
(kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Kichama Ndg.Talib Ali Talib na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrissa Mustafa Kitwana na Makamu Mwenyekiti wa Wazazi Bi. Dogo Iddi Mabrouk.
MAKAMU
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar
na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza
wakati wa ziara yake kukagua Mali za Chama katika eneo la Amani CCM Mkoa leo
14-5-2023 na maendeo mbalimbali ya Mkoa wa Mjini Kichama.
MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea na kukagua Mali za Chama Cha Mapinduzi katika Mkoa wa Mjini Kichama, wakati wa ziara yake katika Mkoa huo leo 14-5-2023 akitembelea eneo la Amani CCM Mkoa na (kulia kwa Rais) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohammed Said Dimwa na (kushoto kwa Rais) Makamu Mwenyekiti wa Wazazi Bi. Dogo Iddi Mabrouk.
No comments:
Post a Comment