Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Gran Meliá kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha tarehe 17 Julai, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Sierra
Leone Mhe. Ernest Bai Koroma mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Gran Meliá
kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika
Jijini Arusha.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu wa
Ethiopia Mhe. Hailemariam Desalegn mara baada ya kuwasili katika Hoteli ya Gran
Meliá kwa ajili ya kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika
Jijini Arusha
Rais Mstaafu wa Awamu ya
Nne Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Mstaafu wa Sierra Leone Mhe.
Ernest Bai Koroma (kushoto) pamoja na Waziri Mkuu Mstaafu wa Ethiopia Mhe.
Hailemariam Desalegn wakati wakielekea kwenye ukumbi wa Mikutano kwa ajili ya kushiriki
Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na viongozi mbalimbali kutoka Ndani
na Nje ya Nchi kabla ya kufungua Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika
Jijini Arusha
Viongozi mbalimbali kutoka
Ndani na Nje ya Nchi wakiwa kwenye ukumbi wa Hoteli ya Gran Meliá kwa ajili ya
kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha.
Viongozi mbalimbali kutoka
Ndani na Nje ya Nchi wakiwa kwenye ukumbi wa Hoteli ya Gran Meliá kwa ajili ya
kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha
Viongozi mbalimbali kutoka
Ndani na Nje ya Nchi wakiwa kwenye ukumbi wa Hoteli ya Gran Meliá kwa ajili ya
kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha.
Viongozi mbalimbali kutoka
Ndani na Nje ya Nchi wakiwa kwenye ukumbi wa Hoteli ya Gran Meliá kwa ajili ya
kushiriki Mkutano wa Jukwaa la Demokrasia Afrika uliofanyika Jijini Arusha.
No comments:
Post a Comment