Habari za Punde

Rais wa Indonesia Awasili Nchini Tanzania kwa Ziara ya Kitaifa ya Siku Mbili

Rais wa Jamhuri ya Indonesia, Mheshimiwa Joko Widodo akipokelewa na Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. Dkt. Stergomena Tax (Mb.katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere Jijini Dar es Salaam baada ya kuwasili nchini kwa ziara ya Kitaifa ya siku mbili Tarehe 21 - 22 Agosti, 2023. (Picha na Wizara ya Mambo ya Nje) 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.