Habari za Punde

Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League " Kati ya KMKM na Hard Rock.Timu ya KMKM Imeshinda kwa Bao 4-1

Mchezaji wa Timu ya KMKM Nasir Sheha Abdalla akimiliki mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier Leagu 2023-2024" huku beki wa Timu ya Hard Rock , akijiandaa kumzuiya mchezo huo uliyofanyika katika Uwanja wa Mao Zedung Wilaya ya Mjini Unguja. Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao 4-1.

Beki wa Timu ya Hard Rock Omar Rashid akijiandaa kupiga mpira huku mshambuliaji wa Timu ya KMKM akijiandaa kumzuiya wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League 2023/2024" mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung Jijini Zanzibar.Timu ya KMKM imeshinda mchezo huo kwa bao.4-1.


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.