Wachezaji wa Timu ya Kundema na Mafunzo wakiwania mpira wakati wa mchezo wao wa Ligi Kuu ya Zanzibar "PBZ Premier League" mchezo uliofanyika Uwanja wa Mao Zedung.Timu ya Kundemba imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0.Dhidi ya Timu ya Mafunzo.
Magazeti : Pitia Hapa Vichwa vya Habari vya Magazeti ya Leo; 16:09:2025
-
Magazeti ya Leo
Wazalendo 25 Blog , is a Social Media which gives our Audience current
News, Entertainment and Advertisements.
1 hour ago
No comments:
Post a Comment