Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.
Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa mara baada
ya kuwasili kwenye uwanja wa Kilimahewa uliopo Ruangwa Mjini kabla ya
kuwahutubia wananchi ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake katika Mikoa ya Kusini
tarehe 18 Septemba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na Waziri Mkuu Mhe.
Kassim Majaliwa wakati akiangalia Akina mama (wa Kabila la Wamwera) wakiwa
wamelala chini kama ishara ya heshima kubwa ya Mapokezi kwa Mhe. Rais Samia
mara baada ya kuwasili kwenye uwanja wa Kilimahewa Ruangwa Mkoani Lindi
Shamrashamra za mapokezi ya
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan katika Mkutano
wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa Kilimahewa Ruangwa Mkoani Lindi ikiwa
ni muendelezo wa Ziara yake katika Mikoa ya Kusini

No comments:
Post a Comment