Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiweka jiwe la msingi jengo la Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, akiwa kwenye ziara ya Mkoa wa Kigoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiwajulia hali wagonjwa, wakati alipokagua majengo ya Hospitali ya Wilaya hiyo akiwa kwenye ziara ya Mkoa wa Kigoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua vifaa tiba, kwenye majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Uvinza, akiwa kwenye ziara ya Mkoa wa Kigoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akikagua vifaa tiba, kwenye majengo ya Hospitali ya Wilaya ya Uvinza, akiwa kwenye ziara ya Mkoa wa Kigoma
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na baadhi ya Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Uvinza, wakati alipokagua majengo ya Hospitali ya Wilaya hiyo akiwa kwenye ziara ya Mkoa wa Kigoma Septemba 21, 2023.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment