Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka Msajili wa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali Bi.
Vickness Mayao wakati alipowasili katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete
mkoani Dodoma kushiriki Kilele cha Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya
Kiserikali.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akitoa maelekezo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa CCBRT Brenda Msangi wakati
alipotembelea banda la taasisi hiyo katika Kilele cha Jukwaa la Mwaka la
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa
Jakaya Kikwete mkoani Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Montessori Community of
Tanzania Sara Kitereja ambayo inasaidia jamii katika kuwezesha elimu na malezi
alipotembelea banda hilo katika Kilele cha Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo
ya Kiserikali lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani
Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akihutubia wakati wa Kilele cha Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya
Kiserikali lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani
Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akionesha tuzo aliyokabidhiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kutoka kwa Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) wakati wa Kilele cha Jukwaa la Mwaka la Mashirika Yasiyo ya Kiserikali lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete mkoani Dodoma.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya wasajili wasaidizi wa
Mashirika Yasiyo ya Kiserikali (NGO’s) wakati wa Jukwaa la Mwaka la Mashirika
Yasiyo ya Kiserikali lililofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete
mkoani Dodoma.
No comments:
Post a Comment