Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akagua ujenzi wa kiwanda cha kusarifu Dagaa

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akimsikiliza Mkurugenzi Muendeshaji Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) Dr. Ameir Haidar Mshenga (kushoto), akitiwa maelezo ya Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Kusarifu Dagaa Kama “Anchovy Processing Facilities and Livelihood Village at Kama” Wilaya ya Magharibi “A” Unguja  , akiwa katika ziara yake kukagua Mradi huo na kuona maendeleo ya ujenzi wake.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akitembelea Mradi wa Ujenzi wa Kiwanda cha Kusarifu Dagaa Kama “Anchovy Processing Facilities and Livelihood Village at Kama”,akiwa katika ziara yake kukagua mradi huo unaojengwa katika eneo la Kama na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame,Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mhe. Suzan Kunambi.(Picha na Ikulu)
WAFANYAKAZI wa Kampuni ya Ujenzi wa Kiwanda cha Kusarifu Dagaa Kama “Anchovy Processing Facilities and Livelihood Village at Kama” na Wananchi wa Kama wakishangilia wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akizungumza na Wananchi akiwa katika ziara yake kukagua mradi huo 28-10-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkurugenzi Muendeshaji wa Kampuni ya Uvuvi Zanzibar (ZAFICO) Dr. Ameir Haidar Mshenga, akitowa maelezo ya Jiko la kusarifu dagaa, wakati wa ziara yake kukagua maendeleo ya ujenzi wa mradi wa “Anchovy Processing Facilities and Livelihood Village at Kama” Wilaya ya Magharibi “A” Unguja na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar Mhe. Suleiman Masoud Makame, Mkuu wa Wilaya ya Magharibi “A” Unguja Mhe. Suzan Kunambi na Mkuu wa JKU Kanali Makame Abdalla Daima.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi wa eneo la Kama Wilaya ya Magharibi ”A” Unguja kunakojengwa Kiwanda cha Kusarifu Dagaa, alipofanya ziara kukagua maendeleo ya ujenzi wa kiwanda hicho.(Picha na Ikulu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.