Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Sekta Binafsi Tanzania (TPSF) Raphael Maganga akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara (Tanzania-Zambia Business Forum) uliofanyika Lusaka nchini humo tarehe 24 Oktoba, 2023.
. Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza katika Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara (Tanzania-Zambia Business Forum) uliofanyika Lusaka nchini humo tarehe 24 Oktoba, 2023
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa
Zambia Mhe. Hakainde Hichilema kwenye Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara (Tanzania-Zambia
Business Forum) uliofanyika Lusaka nchini humo tarehe 24 Oktoba, 2023.
Rais
wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema akiwahutubia Wafanyabiashara kutoka Tanzania
na Zambia katika Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara (Tanzania-Zambia
Business Forum) uliofanyika Lusaka nchini humo tarehe 24 Oktoba, 2023.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwahutubia Wafanyabiashara kutoka Tanzania na Zambia katika Mkutano wa Jukwaa la Wafanyabiashara (Tanzania-Zambia Business Forum) uliofanyika Lusaka nchini humo tarehe 24 Oktoba, 2023.
No comments:
Post a Comment