Habari za Punde

Hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Mwembeladu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Wanafunzi wa Skuli ya Sekondari na Msingi , baada ya kumalizika kwa hafla ya Uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini Unguja leo 24-10-2023, akiwa katika ziara yake kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Skuli ya Msingi na Sekondari za Wilaya ya Mjini Unguja wakimsalimia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi , baada ya kumaliza kuzungumza na Wananchi na Wanafunzi na kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini Unguja, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja leo 24-10-2023 na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa pazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini Unguja,na Waziri wa Elimu na  Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhammed Mussa (kushoto ) na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Said Mohammed Dimwa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgullam Hussein.(Picha na Ikulu) 
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akitembelea Skuli ya Sekondari  Mwembeladu Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Skuli hiyo leo 24-10-2023, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja   akipata maelezo kutoka kwa Waziri Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhammed  Mussa (kulia kwa Rais)  na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi  akitembelea Skuli ya Sekondari  Mwembeladu Wilaya ya Mjini Unguja, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la ujenzi wa Skuli hiyo leo 24-10-2023, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja   (kulia kwa Rais) Waziri Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhammed  Mussa  na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Kitwana Mustafa na Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Ali Abdulgullam Hussein.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (kushoto kwa Rais) akitowa maelezo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari  Mwembeladu Wilaya ya Mjini Unguja na (kushoto kwake) Naibu Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Ali Abdulgullam Hussein na (kulia kwa Rais) Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe.Nassor Salim Ali  na Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhammed Mussa.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika eneo lililoandaliwa kwa ajili ya kuzungumza na Wananchi na Wanafunzi, baada ya kumaliza kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini Unguja leo 24-10-2023, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja  akimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja  Mhe.Idrisa Kitwana Mustafa (kushoto kwa Rais)  na  (kulia kwa Rais)  Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe. Lela Muhammed Mussa na Mwakilishi wa Jimbo la Kikwajuni Zanzibar Mhe.Nassor Salim Ali.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Elimu na Mafunzo ya Amali Zanzibar Mhe.Lela Muhammed Mussa akizungumza katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Skuli ya Sekondari ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini Unguja , kabla ya kumkaribisha mgeni rasmin Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Wananchi na Wanafunzi, baada ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa Skuli hiyo  leo 24-10-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Wananchi na Wanafunzi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja  katika viwanja vya Skuli ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini Unguja, wakati wa hafla ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa jengo jipya la Skuli ya Sekondari ya Mwembeladu, akiendelea na ziara yake  kutembelea Miradi ya Maendeleo ya Mkoa huo leo 24-10-2023.(Picha na Ikulu)
VIONGOZI wa Vyama vya Siasa Zanzibar wakifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia katika hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari  Mwembeladu Wilaya ya Mjini Unguja leo 24-10-2023, akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja kutembelea miradi ya Maendeleo.(Picha na Ikulu)
WANAFUNZI wa Skuli za Sekondari Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Skuli ya Sekondari ya Mwembeladu Wilaya ya Mjini Unguja uliofanyika leo 24-10-2023.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.