Viongozi
mbalimbali wakicheza muziki katika Sherehe za Miaka 59 ya Uhuru wa Zambia
zilizofanyika katika Viwanja vya Ikulu ya Lusaka Nchini Zambia tarehe 24
Oktoba, 2023.
Viongozi
mbalimbali wakicheza muziki katika Sherehe za Miaka 59 ya Uhuru wa Zambia
zilizofanyika katika Viwanja vya Ikulu ya Lusaka Nchini Zambia tarehe 24
Oktoba, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akigonganisha Glass
na mwenyeji wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema kwenye Sherehe za
Miaka 59 ya Uhuru wa Zambia zilizofanyika katika Viwanja vya Ikulu ya Lusaka
Nchini Zambia tarehe 24 Oktoba, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na mwenyeji
wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati wakikata Keki kwenye Sherehe
za Miaka 59 ya Uhuru wa Zambia zilizofanyika katika Viwanja vya Ikulu ya Lusaka
Nchini Zambia tarehe 24 Oktoba, 2023.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza mwenyeji
wake Rais wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema wakati akimuonesha kitu kabla ya
kukata Keki kwenye Sherehe za Miaka 59 ya Uhuru wa Zambia zilizofanyika katika
Viwanja vya Ikulu ya Lusaka Nchini Zambia tarehe 24 Oktoba, 2023.
No comments:
Post a Comment