Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi akagua miradi ya maendeleo Mkoa wa Mjini Magharibi

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katika gari) akizungumza na Wananchi wakati alipofika kutembelea maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba za makaazi na Biasharzinazojengwa na Shirika la Nyumba Zanzibar katika maeneo ya Kwamchina Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi   akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika leo katika  mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake. [Picha na Ikulu] 24/10/2023. 

Baadhi ya Wanafunzi wa Skuli mbali mbali wakionesha picha zinazotoa ujumbe wa kumshukuru  Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi,kwa kutoa nyongeza ya Pensheni ya Wazee wakati wa ziara ya  kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo ya Ujenzi wa Nyumba za makaazi na Biashara zinazojengwa na Shirika la Nyumba Zanzibar katika maeneo ya Kwamchina Wilaya ya Magharibi "B" Mkoa wa Mjini Magharibi iliyofanyika leo katika  mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake. [Picha na Ikulu] 24/10/2023. 
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Magharibi Kichama Mhe.Mohamed Rajab alipokuwa akitoa salam za Chama Cha Mapinduzi wakati Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) alipofanya ziara katika Shehia ya Monduli Wilaya ya Magharibi"A" kutembelea na kuweka jiwe la msingi Skuli ya Sekondari ya Mtopepo  iliyojengwa na Serikali ya Mapinduzi Zanzibar katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake. [Picha na Ikulu] 24/10/2023. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akiwasalimia Viongozi mbali mbali alipowasili katika hafla ya  uwekaji wa Jiwe la msingi Skuli ya Sekondari Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magaribi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika leo katika  mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake. [Picha na Ikulu] 24/10/2023. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kulia) akifungua pazia kuashiria uwekaji wa Jiwe la msingi Skuli ya Sekondari Mwembeladu Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini Magaribi akiwa katika ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo iliyofanyika leo katika  mkoa huo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya uonguzi wake. [Picha na Ikulu] 24/10/2023. 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.