Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ameongoza Wanamichezo Katika Mbio za Zanzibar International Marathon Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa ameinua bastola juu kwa kuazisha Mbio za Zanzibar Inaternational Marathon za KM 21 na 10 zilizoazia katika eneo Ngome Kongwe na kumalizikia katika Bustani ya Forodhani Wilaya ya Mjii Unguja Jijini Zanzibar leo 29-10-2023
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Wanamichezo na Wananchi katika Mbio za Kilomita 5, zilizoazia katika eneo la Ngombe Kongwe Jijini Zanzibar na kumalizikia katika viwanja vya bustani ya Forodhani Wilaya ya Mjini Unguja, na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe.Khamis Ramadhan Abdalla na (kulia kwa Rais) Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Tanzania Mhe.Dkt.Damas Ndumbaro, Waziri wa Habari,Vijana, Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita, wakijumuika katika mbio hizo za kilomita 5






RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwahutubia Wanamichezo na Wananchi walioshiriki katika Mbio za Zanzibar International Marathon, katika viwanja vya Bustani ya Forodhani Jijini Zanzibar, baada ya kumaliza kwa mbio hizo za Kilomita 21,10 na 5, zilizoazia katika eneo Ngomekongwe na kumalizikia katika bustani ya forodhani Jijini Zanzibar leo 29-10-2023 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Habari.Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita




RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi Mshindi wa Kwanza wa Kilomita 10 wa Mbio za Zanzibar Internatinal Maratho kwa Wanawake Sarah Ramadhan mfano wa hundi ya shilingi 2,000,000/- baada ya kumaliza mbio hizo
MKE wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi akimkabidhi zawadi Mshindi wa Kwanza wa Kilomita 10 wa Mbio za Zanzibar Internatinal Maratho kwa Wanaume John Tulumbu mfano wa hundi ya shilingi 2,000,000/- na zawadi nyengine,baada ya kumaliza mbio hizo
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimkabidhi zawadi mshindi wa Kwanza wa Kilomita 21 Wanawake Lilian Leley, baada ya kumaliza mbio za Zanzibar International Marathon, zilizofanyika leo Jijini Zanzibar 29-10-2023 na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe.Tabia Maulid Mwita
 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Washindi wa Mbio za Zanzibar International Marathon zilizofanyika leo Jijini Zanzibar na (kushoto kwa Rais) Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi na Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita na (kulia kwa Rais) Waziri wa Utamaduni,Sanaa na Michezo Tanzania Mhe.Dkt.Damas Ndumbaro

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.